Nina doc.za kutoa mizigo zimekwama Airport toka tar.10/02/2014 zipo airport nimehangaika DHL, TNT na FEDEX wanasema TRA wanakagua haingii akili bahasha yenye BL ikaguliwe wiki nzima na tena wiki inayo fuata kila nikiangalia kwenye mtandao naona Clearance event toka j3 mpaka leo kweli? Serikali ipo serious au mnataka kuyaua haya makampuni ya kusafirisha doc na vifurushi?
Mkuu Storage imesha anza yaani hawa TRA wanakula na wenye bandari kavu akina TRH
Pole mpwa halafu tunasema kodi haitoshi huki wanaharibu mfumo wa kukusanya kodi na urasimu usio na sababu..ni kuweka mazingira ya rushwa
Yuko yanki mmoja pale DHL airport wa kazitamu sorry customs. huyu dogo ni balaa. hata kama mzigo sio wa kukagua yaani BL ataukagua kwa siku tatu. mbona Kenya au hata Somalia sio hivi ? ni elimu ndogo au uroho wa rushwa. Nitataja majina ya viafisa vya TRA AIRPORT ambao ni vinara wa rushwa. na compile listi yao na namba na aina za magari yao na mishahara yao. TUMECHOSHWA NA RUSHWA KAZITAMU sorry CUSTOMS

Kuna dogo anaitwa Jackson yuko pale DHL facility airport upande wa kazitamu anashirikiana na demu mmoja wa DHL. huyu dame ataandika kwenye mtandao clearance delay. ukiona hivyo andaa rushwa kwa Jackson wa kazitamu sorry customs
Sio eapoti tu. kwenye ICD kunaliwa storage na makanjanja wa TRA ni balaa. nenda pale DICD ujitie unataka kulipa storage. utapewa maelekezo na viafisa vya kazitamu kwamba unataka kulipa hela zote hizo serikalini. tupe nusu usidai risiti halafu ishia
Ndio Tanzania klia tahasisi ovyo kabisa