TRA wametoa Nafasi za Ajira

TRA wametoa Nafasi za Ajira

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
834
Reaction score
450
Salaam. TRA wametangaza nafac za kazi kwa wenye masomo ya Economics, law, accountacy, customs, taxation, business administration, finance etc. Deadline ni 20 April. Age limit ni 30 yrs. Application zinafanyika online kupitia www.tra.go.tz then unabofya kwenye vacancies. Watumie vijana waliomaliza chuo na advance diploma ili waombe.
 
Salaam. TRA wametangaza nafac za kazi kwa wenye masomo ya Economics, law, accountacy, customs, taxation, business administration, finance etc. Deadline ni 20 April. Age limit ni 30 yrs. Application zinafanyika online kupitia Tanzania Revenue Authority - Home then unabofya kwenye vacancies. Watumie vijana waliomaliza chuo na advance diploma ili waombe.
wewe ulikuwa shimoni au porini?
 
mm nimeapply ila sijapata email ya kuniambia application yangu imepokelewa?wadau hapa sasa nifanyejeeee maaana siamini na nimejaribu kama mara mbili kimya
 
mm nimeapply ila sijapata email ya kuniambia application yangu imepokelewa?wadau hapa sasa nifanyejeeee maaana siamini na nimejaribu kama mara mbili kimya
Labda application zmejaa..hata me nmetuma cjaambulia msg
 
mails sio automatic jamani zijijibu.. wait a little bit, mtajibiwa
 
unajibiwa tu palepale kama iv dak 3 iv,nadhan ni automatic ,labda kama kunasehemu umekosea
 
kigezo kingine kujua umeshatuma ukilogin huikuti post ile uliyoomba mara ya kwanza.
 
kigezo kingine kujua umeshatuma ukilogin huikuti post ile uliyoomba mara ya kwanza.

Umemaliza ndugu, pia ukisubmit application yako utapata ujumbe unaosema your application has successful saved
 
Ukisave unasend na unaangalia mashine yako itakuambia succesfull.. Kama vp apply tena sama position ikikataa ujuevyayari
 
Acheni utumwa wa kuajiriwa mnahangaikaa bure nafasi hizo zina wenyewe wanasubiria tu muda anzeni kujiajiri fursa ziko nyingi angalia kila eneo nini unaweza kufanya hata kama ni kuuza nazi
 
Acheni utumwa wa kuajiriwa mnahangaikaa bure nafasi hizo zina wenyewe wanasubiria tu muda anzeni kujiajiri fursa ziko nyingi angalia kila eneo nini unaweza kufanya hata kama ni kuuza nazi

na sisi ni watu. wewe jiajiri na sisi tuache tuajiriwe. acha umbea. changia vinavyokuhusu
 
Habari wanajamii. Watafuta kazi wenzangu, mimi nami niliforwadiwa huo ujumbe kwenye whatsup ya kazi za Nmb. Nikabidi nimuulize kaka yangu yupo makao makuu. Ni kwamba hamna kazi hizo nmb walizotangaza. Watu wanawachezea watu. Wametunga hizo msg na kusambaza whatsup. Ni kama ile iliyotokea ya Mwanza community Bank. Agency fek wakatangaza nafasi then wakawa wanaomba watu rushwa. Sijui ni kwann watu wanachezea minds za watu. Wanatumia hii ya watu kukosa ajira ni faida yao kuwachezea. Watanzania inabidi tuungane pamoja na sio kuchezeana hasa katika kipindi hiki cha kutafuta ajira. Nachukia sana hawa watu wanaotumia shida za watu kuwa faida kwao.
 
Na wewe pia unatafuta kazi??
 
2 years back ningeona tangazo kama hili ningelichangamkia fasta fasta. Nashukuru Mungu amenikomboa kutoka kwenye mawazo ya kutegemea kuajiriwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom