Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 Feb 16, 2014 #1 TRA: tunaendelea na mchakato wakufungua vituo vipya vya kazi katika hii mikoa,wilaya ziluzo anzishwa hivi karibuni. Hivyo msiwe na shaka kwani nafasi za ajira zipo. alisema afisa TRA
TRA: tunaendelea na mchakato wakufungua vituo vipya vya kazi katika hii mikoa,wilaya ziluzo anzishwa hivi karibuni. Hivyo msiwe na shaka kwani nafasi za ajira zipo. alisema afisa TRA
P pugekwetu Member Joined Jan 26, 2014 Posts 37 Reaction score 4 Feb 25, 2014 #2 Wajinga hawa si hatutaki kukaa na codes we need jobs ----
Z Z Nyenza Member Joined Sep 22, 2013 Posts 77 Reaction score 29 Feb 26, 2014 #3 pugekwetu said: Wajinga hawa si hatutaki kukaa na codes we need jobs ---- Click to expand... Kwanza ni wasanii.....hata uendeshaji wao wa kuwaitA watahiniwa waliowachagua ni ubabaishaji 2 ila cha muhimu tuanhitaji kazi
pugekwetu said: Wajinga hawa si hatutaki kukaa na codes we need jobs ---- Click to expand... Kwanza ni wasanii.....hata uendeshaji wao wa kuwaitA watahiniwa waliowachagua ni ubabaishaji 2 ila cha muhimu tuanhitaji kazi
Njaba Member Joined Dec 4, 2013 Posts 84 Reaction score 19 Feb 26, 2014 #4 Hawana jipya....uchaga tu ndo umewajaa.