TRA wanafanya kazi kizamani sana. Wanashindwaje kujifunza kwenye nchi zingine kuhusu masuala ya kodi. Nenda pale TRA Dodoma wananchi wamejazana utadhani First Year wa UDSM wanafanya usajili.Mkuu hawa TRA Tanzania wapo humu.Ukitaka wakuelewe wewe wafuate PM wape TIN number yako na shida yako ili waweze kukupa suluhisho la uhakika
Hii ndo inakera mno alafu hapo utakaa masaa sita shida nini eti network inasumbua yaani hakuna siku hata moja wasiseme NETWORK INAZINGUA AU NETWORK INAZINGUA NCHI.TRA wanafanya kazi kizamani sana. Wanashindwaje kujifunza kwenye nchi zingine kuhusu masuala ya kodi. Nenda pale TRA Dodoma wananchi wamejazana utadhani First Year wa UDSM wanafanya usajili.
Niende PM nikafanye tena mkuu haya nayo yakuongelea chumba?Mkuu hawa TRA Tanzania wapo humu.Ukitaka wakuelewe wewe wafuate PM wape TIN number yako na shida yako ili waweze kukupa suluhisho la uhakika
Wilaya ya Makete na Mkoa wa Kikodi wa Ilala wapo vizuri sana. Kwa kweli nawapa heko sana, wanafanya kazi nzuri mno mpaka mteja unafurahi.Niende PM nikafanye tena mkuu haya nayo yakuongelea chumba?
Leseni ninayo tayari mda mrefu.
Ila wanakera wao kila siku wao network inasumbua kurenew tu lesen mwez vingnevyo uwe tayari kukaa kuanzia saa1 asubuh mpaka saa10 jioni vingnevyo ukubali kupoteza nauli kila uchwao.
Labda tra huko kwengine wapo tofauti ila kwa WILAYA YA RUNGWE hapana aisee ni changamoto.
Mkuu unaweza kufanya renewal ya leseni mwenyewe online kama ni leseni ya udereva kisha utafuata printout tu hapo TRANiende PM nikafanye tena mkuu haya nayo yakuongelea chumba?
Leseni ninayo tayari mda mrefu.
Ila wanakera wao kila siku wao network inasumbua kurenew tu lesen mwez vingnevyo uwe tayari kukaa kuanzia saa1 asubuh mpaka saa10 jioni vingnevyo ukubali kupoteza nauli kila uchwao.
Labda tra huko kwengine wapo tofauti ila kwa WILAYA YA RUNGWE hapana aisee ni changamoto.
Ni Leseni ya biashara mkuu.Mkuu unaweza kufanya renewal ya leseni mwenyewe online kama ni leseni ya udereva kisha utafuata printout tu hapo TRA
Ijapokuwa ni mwez uliopita ndo nimeona wameleta mfumo mpya wanauita TAUSI utakuwa unajisajili nyumban kama wafanyavyo TANESCO HEKO KWAO.Mkuu unaweza kufanya renewal ya leseni mwenyewe online kama ni leseni ya udereva kisha utafuata printout tu hapo TRA
Hilo likitu networks inasumbua ni kisingizio kikubwa na chaka la upigaji kwa sasa kwenye mashirika mengi ya umma.Hii ndo inakera mno alafu hapo utakaa masaa sita shida nini eti network inasumbua yaani hakuna siku hata moja wasiseme NETWORK INAZINGUA AU NETWORK INAZINGUA NCHI.
Leseni unaifuatilia mwezi??
Alafu wanaamini hatujui chochote.Hilo likitu networks inasumbua ni kisingizio kikubwa na chaka la upigaji kwa sasa kwenye mashirika mengi ya umma.
Kuna wakati lazima waambiwe kwa uwazi hapahapa ili hata yule asiye na shida nao kwa sasa ayajue madhaifu yao pale atakapo kuwa na shida nao TRA swala la mtandao ni tatizo sugu linalo weza kukukalisha hata wiki nzima ,Mkuu hawa TRA Tanzania wapo humu.Ukitaka wakuelewe wewe wafuate PM wape TIN number yako na shida yako ili waweze kukupa suluhisho la uhakika
Hapo vipo vitu vingi mzeeAlafu wanaamini hatujui chochote.
Afisa biashara kabisa na akili zetu timamu anatuambia network nchi nzima inasumbua jengo hilo hilo huduma za RITA NIDA TIN zinaendelea vizuri tu.
Alafu Network Gan Isumbue Tra Tu Sehem Zinaendelea Na Huduma Tin Nida Na Rita Jengo Moja Na Tra?Kuna wakati lazima waambiwe kwa uwazi hapahapa ili hata yule asiye na shida nao kwa sasa ayajue madhaifu yao pale atakapo kuwa na shida nao TRA swala la mtandao ni tatizo sugu linalo weza kukukalisha hata wiki nzima ,
ni mtandao gani huo usio rekebishika miaka yote!? Au ma IT wa TRA ni wa mchongo? TRA kwakweli wanakera na ndio chanzo cha watanzania wengi kukwepa kodi.