pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 616
Kwa hiyo unashauri wavunjwe viuno,viwiko au wakatwe videvu vyao?Safi
Kwa hiyo wakishachukua vitu vya "maintaplinywaa" na kodi inajikata humohumo na wasisumbuliwe tena,sivyo?Hao wanaochukua vitu madukani ni watu wa halmashauri sio TRA.
Mimi ni mhanga wa hao watu😂Kwa hiyo wakishachukua vitu vya "maintaplinywaa" na kodi inajikata humohumo na wasisumbuliwe tena,sivyo?
Hatari sana.Haukupata hata fotografia zao za mjongeo na majina au "aidintitiiz" zao mkuu?Wallah Wabillah Touwfique!Mimi ni mhanga wa hao watu😂
Juzi walichukua vitu dukani wakaondoka navyo, jana nikafatilia wakasema hawanipi mpaka nitoe faini 100k, service levy 30k nikate na leseni 150k
Nilichogundua wanataka rushwa halafu wana lugha chafu sanaa.
Leo nikalipia service levy na leseni nikapewa vitu vyangu.
Vitu vikikaa kwa siku 7 wanavitahifisha.
Wafanye kama tegeta😖Kwa hiyo unashauri wavunjwe viuno,viwiko au wakatwe videvu vyao?
Tena Uku kivule ndio wamefanywa Shamba la Bibi kuvamiwa Maduka ya WATU nakulazimisha Tufanye Wanavyotaka Wao, Ovyoo Sana Awa WATU wa TRA, Tena wanaweza kuja wa 5 Mwenye kitambulisho Cha TRA ni Mmoja tukuna zoezi la kukusanya kodi madukani linaendelea uratibu uonaotumika ni kuvamia maduka ya watu na kuchukua vitu imepelekea baadhi ya maofisa kupigwa maeneo ya kivule, ni utaratibu gani huu jamani elimu ya kodi inatakiwa..... kwa sasa maduka yote yamefungwa nimemuuliza mfanyabiashara mmoja kwanini umefunga akasema hana leseni nikamuuliza leseni ya biashara au leseni ipi? akasema hajui kifupi maeneo ya kivule jana ilikuwa ni fujo tupu na ikumbukwe huku wanaishi wakurya tujiandae kusikia lolote
Yuuuwii daadeee!Ifwa muunu!Wafanye kama tegeta😖
Manyi be😆!Yuuuwii daadeee!Ifwa muunu!
Huo utu ni kwa ureful,uzito,ubora au mahovyohovyo tu?CCM mitano tena!!
KAZI ni kipimo cha utu
Watu wa hamlmashauri ndio wanamamlaka ya kuchukua hvo vitu, wao wanapeleka wapi .Hao wanaochukua vitu madukani ni watu wa halmashauri sio TRA.
Hii nchi mtu akishakua na cheo hata ujumbe wa mtaa anafanya anavyojisikia sababu anajua hakuna kitu wananchi watamfanya.Watu wa hamlmashauri ndio wanamamlaka ya kuchukua hvo vitu, wao wanapeleka wapi .
Duuh , kama Mtu anakosa nibora kufunga biashara kwa muda ila wasijipe mamlaka kias hcho.Hii nchi mtu akishakua na cheo hata ujumbe wa mtaa anafanya anavyojisikia sababu anajua hakuna kitu wananchi watamfanya.
Jirani ana saloon ya kiume walimchukulia mashine za kunyolea na kiti.
Halafu ndio wanataka watu wajiajiri kwa utitiri huu wa kodi.Duuh , kama Mtu anakosa nibora kufunga biashara kwa muda ila wasijipe mamlaka kias hcho.