UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Waliotoa pesa za brush nao wapo kwenye same group la walalamikaji kuna jambo linaendelea hawataki kuliweka bayanaToa hela ya brush uone kama itachukua siku 2.
Toa hela ya brush uone kama itachukua siku 2.
POa
Poleni snWaliotoa pesa za brush nao wapo kwenye same group la walalamikaji kuna jambo linaendelea hawataki kuliweka bayana
Jamaa amefail big timePole kwa usumbufu,ila dawa ya yote haya ni kurudisha utoaji wa leseni hizi kwa mamlaka husika,driving licences zirudishwe traffic dept.na za biashara ndogo ndogo serikali za mitaa ndio wajibu wao,TRA wao wahusike na kodi kubwa na sidhani kama tuna kitengo cha VIP kinachojihusisha zaidi na viongozi wa kitaifa including our no 1(sijawahi kusikia tax returns zake,na hii ni haki yangu kama mlipa kodi wa nchi),TRA wadeal zaidi na makampuni makubwa ,offshore accounts;sio kukimbizana na driving licences
Yaani ni balaahapo ni samora.... nambie alieenda tawi la nanjilinji huko ndani ndani!!!
kuna taasisi haziko serious
Sasa najiuliza sijui anampango gani huyu jamaaYangu nimelipia tarehe 11/09/2017 hadi leo. Labda hizi material za leseni zinatengenezwa na chembechembe za Bombadier iliyoshikiliwa kule Canada.
Hawana wasiwasi wanajibu "material hamna" [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Nafikiri walihitaji kumfurahisha bos waoSi msemaji wa serikali kasema nidhamu na ufanisi serikalini vimepanda, au vipi?