Vivid Reality
Member
- Jul 21, 2017
- 19
- 9
Hapana ila risiti zitolewe
alafu unataka maendeleo...sjui atayaleta malaika toka mbngun...fu***n sana watz
Sent using Jamii Forums mobile app
Asiye mzalendo=HainiBila aibu mtu hana biashara yoyote zaidi ya makalio anakaa kupanga kuisaidia TRA kukusanya mapato badala ya kumsaidia familia yako iongezekipato na ku survive! mtaani nani anataka hizo risiti.unadhani wasiotoa risiti hawalipi kodi? mjinga kweli wewe! kodi zinalipwa provosional tax/final tax hata bila risiti hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu bora [HASHTAG]#Hongera[/HASHTAG] bossMnunuaji ndiye anayelipa kodi anapokuwa ananunua bidhaa kodi hiyo inakusanywa na muuza lakini hii kodi aliyoitoa mnunuaji inaishia kwa muuza anakula faida pamoja na kodi muuzaji ni kama mkusanyaji tu alipi kodi bali mnunuaji ndiye anayelipa kodi kwa kila bidhaa anayonunua.RISITI ZITOLEWE maana sio nyie mnaolipa hiyo kodi bali mnunuaji na kodi yenyewe inaishia kwa wauzaji.