TRA Makumbusho na tatizo la mtandao

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
48,614
2,000
Watu wamekuja kulipia kodi za majengo. Muda tu mtandao umeelemewa
Wateja wame stuck naona hii ngoma kurudi mpaka Jioni.

Uzi tayari

Ova
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
48,614
2,000
Leo siku ya mwisho basi ndo mmejazana wote, kuweni wapole tu!
Inasemekana wiki nyuma mtandao unazingua
Leo Kuna mtu nlimtumia pia Hali iko vile vile
Ila najua ni style ya kuwaingiza watu kwenye penalty kwa nguvu

Ova
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom