Hio ni wastani kutokana na jumla ya mapato. Sio kwamba, ni kweli kila mtu anatoa hiyo pesa, maana hata hivyo kuna watu kama makampuni ambao wanatoa ma millions ya pesa kila mwezi. asante
Analinganisha mapato ya December 2020 na December zilizopita. Sio December Na miezi mingine ya mwaka huo huo. Wewe majibu yako yanaonesha umehisi kuwa alilinganisha December Na miezi mingine ya mwaka huo huo
"Hata ivyo makusanyo ya shilingi 4......Trilioni bado ni madogo sana....."
Unasema bado ni madogo kwa vigezo gani mkuu? apo istoshe umefanya flat rate ya 29k kwa kila mtanzania ivi unaewa ni watanzania wangapi hawana hata uo uwezo wa kuiona iyo hela kwa siku??.
Ivi unaelewa kuwa kuna watanzania wengine iyo hela ni ujira wao wa wiki nzima?? yani mtu anapigika kisawa sawa mpaka wiki ndo anaipata
Ivi unaelewa kwa kufanya flat rate na kwa kuzingatia hayo niliyo kuambia apo juu kuna watanzania wengine wanalazimika kuwalipia watanzania wengine zaidi ya hata 20?? ( Hapa nazungumzia wawekezaji wakubwa na wakati)
Sasa nikuulize hao wawekezaji unafikiria in a long run hao wawekezaji wata weza endelea wekeza kwetu?
Mi nafikiri kuna haja ya kupatiwa taarifa za kina juu ya upatikanaji wa hayo mapato sio kufurahia tu na kushadadia mambo usiyo yaelewa na pia Soma, elewa fikiri kabla ya kutamka neno.
Sidhani katika dunia hii kama kuna binadamu punguani kuliko Mtanzania!Imagine watu wanapiga debe kusifia serekali kukusanya mapato makubwa badala ya kupiga debe serekali imefanya nini katika kuboresha vyanzo vya mapato!