TRA kitengo cha leseni mnacheza michezo ya kitoto sana

TRA kitengo cha leseni mnacheza michezo ya kitoto sana

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,065
Reaction score
3,845
Leseni mlimpa mtu kwa vigezo vya vipimo na vyeti baada ya miaka mitano anakuja kurenew mnamwmabia tunataka vyeti kwani wakati anaikata hiyo leseni ilitolewa na nani au hamuaminiani

[emoji23][emoji23] nimetoka kwenye ofsi zao imenibidi nipige sim mkoa waniscanie vyeti vyangu ili nirudi tena kwa ushahidi maana ni usumbufu na kutengeneza mazingira ya hela

Eti jiongeze au madaraja yafutwe kwani wakati mnanipa si vyeti mlipokea na vipimo mkafanya, alitoa nani au haumaminiani
 
Back
Top Bottom