Najua kuna wadau wa TRA humu jamvini
for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipata
- ya kwanza mliuplift gari na mkalipwa lakini baada ya all clear lile gari likazuiwa getini at hiyo valuation imekosewa... sasa nauliza makosa yenu yanakuwaje adhabu yangu?? je mwaweza beba makosa yangu?? ni wiki ya tano sasa mnajizungusha tu
- jingine ni vitu visivyotozwa kodi, mmeleta utaratibu wa kupitia valuation na sasa tuna mwezi na nusu mnashindwa hata ku-clear makopyuta na kila mnapojaribu kuyatoa mnakosea documents
- kwa sasa mmeonesha wazi hamna ccordination ya mipango yenu kwani tumehangaika wiki ya tatu sasa na kila idara inaonekana haijui idara nyenzake infanya nini... hivi kweli haya ndio maanalizi ya kuinua uchumi na kutuondolea kero???
- Tumekimbilia mikoani, mmecentralise systems ambazo hata nyie wenyewe hamzielewe...
mnatutesa na kutuumiza watanzania wenzenu sana.... AU NI MBINU YA KUCHANGISHA PESA ZA KAMPENI KWA KUTUMIA STORAGE CHARGES ZETU?? HII SI LAANA?
Thank you very much for this useful post! Need I say again?
Mimi Binafsi ni Muathirika wa hili!! Gari yangu wali uplift kwa Dola $200
Kuepuka usumbufu nikaona nilipe hiyo kodi tu. ila Roho iliniuma sana!
Naomba kuuliza jamani. Ku uplift ni utaratibu wa TRA? Huu Mchezo umeongezeka sana kuanzia mwezi wa Tisa.
CCM you have an Upper hand on this!!
Jamani wadau kama nina TT receipts! E-mail correspondents!! what else do I need to provide ndio hawa mabwege waamini Value Niliolipia gari?
Mimi ni mtanzania ninaye ipenda Nchi yangu. Kuna uozo mwingi sana hapo TRA. Endeleeni kutunyanyasa Tu. Dawa yenu itaiva October 31.
sasa nimeamua kula na nyinyi sahani moja! hizo gari bora niwaachie lakini sitalipa an Extra Amount for someone who need to be bribed so that I get my right!! achaaani upuuzi jamani.
Najua kuna wadau wa TRA humu jamvini
for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipata
mnatutesa na kutuumiza watanzania wenzenu sana.... AU NI MBINU YA KUCHANGISHA PESA ZA KAMPENI KWA KUTUMIA STORAGE CHARGES ZETU?? HII SI LAANA?
- ya kwanza mliuplift gari na mkalipwa lakini baada ya all clear lile gari likazuiwa getini at hiyo valuation imekosewa... sasa nauliza makosa yenu yanakuwaje adhabu yangu?? je mwaweza beba makosa yangu?? ni wiki ya tano sasa mnajizungusha tu
- jingine ni vitu visivyotozwa kodi, mmeleta utaratibu wa kupitia valuation na sasa tuna mwezi na nusu mnashindwa hata ku-clear makopyuta na kila mnapojaribu kuyatoa mnakosea documents
- kwa sasa mmeonesha wazi hamna ccordination ya mipango yenu kwani tumehangaika wiki ya tatu sasa na kila idara inaonekana haijui idara nyenzake infanya nini... hivi kweli haya ndio maanalizi ya kuinua uchumi na kutuondolea kero???
- Tumekimbilia mikoani, mmecentralise systems ambazo hata nyie wenyewe hamzielewe...
for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipata
tutahonga wangapi sasa?? si wajitangaze tu kwamba na wao wanauza kama machangudoa basi tununue.... wanakera sana TRAHapo mkuu Acid naona unashindwa kuunyosha mkono.
Wao wanakutengenezea mazingira ya kuwahonga sasa wewe hujagundua ukikata kidogo mbona fasta.
Ukikomaa gari itaozea bandarini hapo hao jamaa hawafai.
Najua kuna wadau wa TRA humu jamvini
for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipatamnatutesa na kutuumiza watanzania wenzenu sana.... AU NI MBINU YA KUCHANGISHA PESA ZA KAMPENI KWA KUTUMIA STORAGE CHARGES ZETU?? HII SI LAANA?
- ya kwanza mliuplift gari na mkalipwa lakini baada ya all clear lile gari likazuiwa getini at hiyo valuation imekosewa... sasa nauliza makosa yenu yanakuwaje adhabu yangu?? je mwaweza beba makosa yangu?? ni wiki ya tano sasa mnajizungusha tu
- jingine ni vitu visivyotozwa kodi, mmeleta utaratibu wa kupitia valuation na sasa tuna mwezi na nusu mnashindwa hata ku-clear makopyuta na kila mnapojaribu kuyatoa mnakosea documents
- kwa sasa mmeonesha wazi hamna ccordination ya mipango yenu kwani tumehangaika wiki ya tatu sasa na kila idara inaonekana haijui idara nyenzake infanya nini... hivi kweli haya ndio maanalizi ya kuinua uchumi na kutuondolea kero???
- Tumekimbilia mikoani, mmecentralise systems ambazo hata nyie wenyewe hamzielewe...
Suala hili limejirudia mara nyingi sana bila sababu za msingi sana. Mamlaka ya Mapato Tanzania inapaswa kuwa consistent katika kazi zake. Hoja za mada hii zimejitokeza kwa wengi na kwa gharama za wateja hali kwama:
Hizi concern ni vema zifike kwa Wakuu wa TRA iwapo hawajui ili Nchi iwe na huduma zenye viwango vinavyotabirika kuliko kila mtu ni Mungu kwenye kakitengo
- ukadiriaji wa kodi hufanyika bila mteja kuonana na mkadiriaji;
- nyaraka zinazotumika hazitambuliwi na wale wanaoitwa Wharf, wao wanatumia macho kubuni bei
- hakuna hatua zinazochukuliwa iwapo kulikuwa kweli na makosa ya ukadiriaji kwa "anayekose"a kila mara halafu wale wa getini ndo wanarekebisha kwa makubaliano maalum (this is more serious);
- ukimuuliza meneja wa Long Room tatizo lilikuwa ni nini mbona anazuiliwa tena kwa kulipa kidogo, anasema hao ni wengine kabisa wala hawezi kuwaingilia;