TRA: Hivi huu ndio utendaji bora? Bora mfutwe tu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRA: Hivi huu ndio utendaji bora? Bora mfutwe tu...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by TIMING, Oct 1, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Najua kuna wadau wa TRA humu jamvini

  for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipata
  1. ya kwanza mliuplift gari na mkalipwa lakini baada ya all clear lile gari likazuiwa getini at hiyo valuation imekosewa... sasa nauliza makosa yenu yanakuwaje adhabu yangu?? je mwaweza beba makosa yangu?? ni wiki ya tano sasa mnajizungusha tu
  2. jingine ni vitu visivyotozwa kodi, mmeleta utaratibu wa kupitia valuation na sasa tuna mwezi na nusu mnashindwa hata ku-clear makopyuta na kila mnapojaribu kuyatoa mnakosea documents
  3. kwa sasa mmeonesha wazi hamna ccordination ya mipango yenu kwani tumehangaika wiki ya tatu sasa na kila idara inaonekana haijui idara nyenzake infanya nini... hivi kweli haya ndio maanalizi ya kuinua uchumi na kutuondolea kero???
  4. Tumekimbilia mikoani, mmecentralise systems ambazo hata nyie wenyewe hamzielewe...
  mnatutesa na kutuumiza watanzania wenzenu sana.... AU NI MBINU YA KUCHANGISHA PESA ZA KAMPENI KWA KUTUMIA STORAGE CHARGES ZETU?? HII SI LAANA?
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
  wewe nadhani unahitaji BAN!

  kuna parameters ambazo nadhani hujaziangalia kwenye sredi yako...!

  ngoja nikupigie wewe
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Thank you very much for this useful post! Need I say again?
  Mimi Binafsi ni Muathirika wa hili!! Gari yangu wali uplift kwa Dola $200
  Kuepuka usumbufu nikaona nilipe hiyo kodi tu. ila Roho iliniuma sana!
  Naomba kuuliza jamani. Ku uplift ni utaratibu wa TRA? Huu Mchezo umeongezeka sana kuanzia mwezi wa Tisa.
  CCM you have an Upper hand on this!!
  Jamani wadau kama nina TT receipts! E-mail correspondents!! what else do I need to provide ndio hawa mabwege waamini Value Niliolipia gari?
  Mimi ni mtanzania ninaye ipenda Nchi yangu. Kuna uozo mwingi sana hapo TRA. Endeleeni kutunyanyasa Tu. Dawa yenu itaiva October 31.
  sasa nimeamua kula na nyinyi sahani moja! hizo gari bora niwaachie lakini sitalipa an Extra Amount for someone who need to be bribed so that I get my right!! achaaani upuuzi jamani.
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Mimi nina mzigo toka mombasa wiki sasa lori lipo horohoro tunasubiri tra waseme lini tulipie!huku wanasema bajeti ni tegemezi,jee fikiri una chemicals za kiwanda si utachanganyikiwa,muda zinatoka zimesha expire!mengi alikimbiwa na watengenezaji wa colgate,lux kutokana na ukiritimba wa tra!ccm inalaumu tpa badala ya tra.uwekezaji ktk mazingira haya ni hadithi
   
 5. dorin

  dorin Senior Member

  #5
  Oct 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi hili swali kwanini hakuulizwa mdanganyika ila siku ya muulize rais @ yahoo.com TBC!
   
 6. a

  as me Member

  #6
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  frankly speaking these people are problematic, tatizo wana introduce systems mpya bila kuwapa training watu wao, wanaofanya kazi wengine wanaenda training mabos wat du u expect? eti pamoja tulijenge taifa letu kwa mtindo huu kweli???. humu ndani najua kuna wadau wa TRA wafikishieni taarifa plsss
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu laiti ungejua maumivu niliyonayo usingesema

  baadhi ya vifaa vilikua vya misaada kwa vijana wapate ajira... sasa ni mwezi na vijana wale (graduates) wamefulia

  sijui nini hatima ya TRA kwa mwendo huu
   
 8. B

  Bonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 868
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
 9. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wenzako huwa wanasusa kabisa na maudhi ya hao jamaa.
   
 10. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu hii mada nyeti, (lakini acheni ukali wa manung'uniko). Tusiandikii mate na wino upo. Tuwaombe JF watupe mtu wao aje hapa atufundishe. Au tumtume mtu wetu akaeleweshwe. Sheikh, Kuna kauhuru ka vyombo vya habari. Hata wazee wanavikubali. Tutamtuma mwana JF mwenzetu apate interview labda kapicha kamoja au tuwili. Unajua hawa ni wahasibu, muhasibu akiwa mwizi lini utaendelea, natua wako busy apo nitaelewa. Sio wafanya kazi wetu ni wafanyakazi wa siri-kali. haya, interview ya redio basi alafu tunafanya mp3. Hii ndio department inatakiwa itengenezwe sana baada ya usalama wa taifa (the boys). Ebu jamani tuwasaidieni. Wabunifu USA hatutapendelea. Tutatengeza system based on current rules and regulation. alafu tutawafundisha wadau entrprenurials and Financial Literacy,. Department nyingine ni Customs. Hawa ndio wanatakiwa wawe pale bandarini, wale TRA pale bandarini sio department yao. Yaani hapo kuna ubadhirifu wa mali ya umma. he wakuu tazameni, Bandarini kuna customs ambao kazi yao ni tarifs. na kukamata magendo. Tayari kuna polisi wa duty, sasa hawa TRA hapa bandarini wanatafuta nini aanzia na hilo swali, ukifikia kahawa ya tatu, utakua umechuja hizi khabari kiasi ya kutosha. Tungependa wana JF kusapoti Wana WABUNIFU USA. ni sisi hawa jamaa zenu wa California, lakini tunaexpand rapidly. Plenty of managemet exparties on our Board of Directors with some Tangible Networks of Good People. Tunahitaji wadau, watusaidie our expansion in Dar. Good plans toilered toward poverty elliviation the UNITED NATION MANDATE BY 2015 all countries in Africa are behind in getting situation to improve. Any Govenement that will be in Ikulu will focus on this one. That is why oppositions are pointing a finger at poverty but they too are thinking of this very issue as we communicate. WABUNIFU USA has alredy done feasebility study done in 2008 pretty current huh? we did it on Business Management, on Two most likely to produce a good sample with comfortable margin of error. We got it. Join me on this one please, we will help lot and lots of wajasirimali.
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Hivi hmna mtu wa TRA humu akajibu hizi tuhuma?
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hii ndiyo Tanzania inayojengwa na watu wake.

  Mimi naogopa kuingia ktk madaraka kwa sababu siwezi kuvumilia uzembe kama huu na walah watu watatengana na wapendwa wao endapo ningekuwa kiongozi.

  TRA ni mkono mwingine wa watawala (CCM) kukusanya pesa za kukiendeshea na kupromoti walarushwa.
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapo mkuu Acid naona unashindwa kuunyosha mkono.
  Wao wanakutengenezea mazingira ya kuwahonga sasa wewe hujagundua ukikata kidogo mbona fasta.
  Ukikomaa gari itaozea bandarini hapo hao jamaa hawafai.
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tutahonga wangapi sasa?? si wajitangaze tu kwamba na wao wanauza kama machangudoa basi tununue.... wanakera sana TRA
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nimejaribu sana kukwepa kuhusisha TRA na CCM lakini inaonekana siwezi kutenganisha maana sijaona jamaa wanazungumzia nini kuhusu kuboresha hii institution ambayo kwa kiasi kikubwa inaharibu mahusiano ya kibiashara na nachi jirani
   
 16. J

  Jahom JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 26, 2008
  Messages: 349
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Suala hili limejirudia mara nyingi sana bila sababu za msingi sana. Mamlaka ya Mapato Tanzania inapaswa kuwa consistent katika kazi zake. Hoja za mada hii zimejitokeza kwa wengi na kwa gharama za wateja hali kwama:
  • ukadiriaji wa kodi hufanyika bila mteja kuonana na mkadiriaji;
  • nyaraka zinazotumika hazitambuliwi na wale wanaoitwa Wharf, wao wanatumia macho kubuni bei
  • hakuna hatua zinazochukuliwa iwapo kulikuwa kweli na makosa ya ukadiriaji kwa "anayekose"a kila mara halafu wale wa getini ndo wanarekebisha kwa makubaliano maalum (this is more serious);
  • ukimuuliza meneja wa Long Room tatizo lilikuwa ni nini mbona anazuiliwa tena kwa kulipa kidogo, anasema hao ni wengine kabisa wala hawezi kuwaingilia;
  Hizi concern ni vema zifike kwa Wakuu wa TRA iwapo hawajui ili Nchi iwe na huduma zenye viwango vinavyotabirika kuliko kila mtu ni Mungu kwenye kakitengo

   
 17. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Katika taasisi muhimu na nyeti nchini ni TRA, kama hawa jamaa wataamua kufanya kazi yao kwa umakini wa hali ya juu tutasonga mbele mapema, lakini utasikia mizingo mingine inapita bila kulipiwa ushuru, mingine ndo hivyo wanacompensate kupitia kwa wenye kidogo.
  Sina hamu na hawa jamaa, bora ukaingizia gari Mombasa kuliko Dar es salaam maana kutoka bandarini tu kuna watu kijiji kizima inabidi uwahonge.
   
 18. J

  Jahom JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 26, 2008
  Messages: 349
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Solution is to change top management as it has never considered that this time is not for ubabaishaji rather, it is time for credible determination.
   
 19. k

  ktman Member

  #19
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo wapenda hela (wachagga ) ndiyo wajemaa huko ,wanaharibu hata utaratibu wa kazi . nilishawahi kulipishwa kamzigo kangu kutoka Ughaibuni sina hamu .
   
 20. gongotamu

  gongotamu Member

  #20
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi hii hakuna mkubwa. hakuna wa kumkemea mwenzake
   
Loading...