Recently..nimepata taarifa kuwa TRA wanaemploy fresh graduates tu..ikiwa umeaply then kwenye CV umepost working experience basi nikigezo tosha kukuchuja..ikiaminika kuwa wenye working exprc ni mabingwa wa Fraud.....Je hii ni kweli??
kama wanaweza kuja na hii strategy basi (kwa Tanzania) inaweza kusaidia lakini hawa wakianza kuiba, tuombe Mungu tuwepo na kushuhudia!
Tunahitaji mfumo mpya tu mengine ni 'longolongo'!
Barclays Bank walikuja na mtindo wa kuajiri graduates mbona walikiona cha moto1 vijana walikwiba kwa kasi ya ajabu maana kila mtu anataka awe na gari, ajenge nyumba akishindwa sana apange nyumba nzima!
Recently..nimepata taarifa kuwa TRA wanaemploy fresh graduates tu..ikiwa umeaply then kwenye CV umepost working experience basi nikigezo tosha kukuchuja..ikiaminika kuwa wenye working exprc ni mabingwa wa Fraud.....Je hii ni kweli??
Sasa hii siwanashawishi watu wasiwe wa kweli....kwa kutoidentfy kuwa anaexperience ya kaz?.....Hii nchi hii mtu akae tuuu since July amemaliza chuo bureee akitegemea kuaply TRA while kuna proba ya kupata hiyo post!<br />
This is 100% a crap.....Hawa wanafikiri hizi ni enzi zao zile za kupata ajira kwa kuombwa ukiwa shuleni...?sasa na ninyi mlio watoto wa hawa wakuu mkiwa hapo home si muwaelimishe wazazi wenu....nini hikiii....!!!!