TRA hawakujipanga kodi za majengo

TRA hawakujipanga kodi za majengo

Mr Bean.

Senior Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
185
Reaction score
133
TRA1.jpg
TRA2.jpg
Katika sehemu kubwa nchini kama si nchi nzima ulipaji wa kodi ya majengo imekuwa kero kubwa sana kutokana watu kuwa wengi sana katika ofisi za TRA Hali inayoonnyesha kwamba TRA wamezidiwa na wateja Jambo ambalo limekuwa likisababisa msongamano wa hali ya juu.Hali hiyo katika sehemu nyingine imesababisha hata baadhi ya huduma nyingine katka ofisi za TRA kusitishwa. Kufuatia hali hii niliyoiona katika sehemu nyingi za nchi. Ningeshauri mwakani TRA wajaribu kutumia mfumo wa malipo kwa njia za mitandao ili kuepuka usumbufu usio na lazima. NAWASILISHA.
 
Attachments

  • TRA1.jpg
    TRA1.jpg
    170.9 KB · Views: 39
Me nimeenda wizara ya ardhi kulipa Ada ya kiwanja hilo foleni nimeona niendelee tu maisha kama kawaida Wanipeleke tu huko mahakamani Utawala huu umeamua kutunyanyasa kisawasawa na wakati mwingine hatuelewi maybe kuna kosa tuliwafanyia...

Kiwanja na Ardhi tulipata kwa jasho letu kama utaratibu wa kupanga foleni chukueni tu nyumba am sure Tawala zijazo zitaturejeshea furaha ya jasho letu.. Mwenyezi Mungu anawaona wajue... Dhambi zao watazilipia hapa hapa duniani watambue hilo
 
...Wa Tanzania tujifunze kufuatilia maelekezo tunayopewa ndani ya muda husika badala ya kusubiri last minutes. Mimi nimelipa mwezi wa april ilinichukua hardly ten minutes pale TRA Moro. Jana nilipita hapo TRA aisee nilishuhudia mafuriko ya watu. Kila kitu pale ni kama kilisimama, mbaya zaidi umeme ukakata na genereta la Tra likawa halifanyi kazi.
 
Watanzania tunapenda kwenda siku za mwishomwisho ndio maana
 
Me nimeonda wizara ya ardhi kulipa Ada ya kiwanja hilo foleni nimeona niendelee tu maisha kama kawaida Wanipeleke tu huko mahakamani Utawala huu umeamua kutunyanyasa kisawasawa na wakati mwingine hatuelewi maybe kuna kosa tuliwafanyia...

Kiwanja na Ardhi tulipata kwa jasho letu kama utaratibu wa kupanga foleni chukueni tu nyumba am sure Tawala zijazo zitaturejeshea furaha ya jasho letu.. Mwenyezi Mungu anawaona wajue... Dhambi zao watazilipia hapa hapa duniani watambue hilo
Mkuu kama siyo vyama vingi sijui huu utawala ungetupeleka wapi?
 
Me nimeenda wizara ya ardhi kulipa Ada ya kiwanja hilo foleni nimeona niendelee tu maisha kama kawaida Wanipeleke tu huko mahakamani Utawala huu umeamua kutunyanyasa kisawasawa na wakati mwingine hatuelewi maybe kuna kosa tuliwafanyia...

Kiwanja na Ardhi tulipata kwa jasho letu kama utaratibu wa kupanga foleni chukueni tu nyumba am sure Tawala zijazo zitaturejeshea furaha ya jasho letu.. Mwenyezi Mungu anawaona wajue... Dhambi zao watazilipia hapa hapa duniani watambue hilo

Nakubaliana na wewe Mkuu . Kodi wanataka tumekubali kulipa . Sasa kwa nini iwe kero na kupotezeana muda ? Tuache kutafuta pesa kwa ajili ya maisha tukapange foleni ? Kazi zetu tunamwachia nani kwa siku nzima kukaa foleni . Mbona kununua vorcher na bando ni rahisi Tu . Halafu angalia pamoja na kupokea Ankara ya malipo na kutaja kiasi tunachodaiwa bado tunatakiwa kujaza tena form . Na watafurahi sana muda wa nyongeza hautatosha wapokee ziada shs 75,000/- faini mapato yataongezeka !
 
Watz wengi wanapenda sana kusubr siku za mwisho kuzima moto, mashauri hizi siku zilizoongezwa kama hujalipia lipa mapema uzoefu unaonyesha muda iliongezwa watu wanarelax wanakuja kujazana siku za mwisho..... Hapa tatizo sio TRA tatizo n sis tulizoea kuzima moto... Hata kwenye uhakiki wa TIN kulikuwa na same issue....
 
Watz wengi wanapenda sana kusubr siku za mwisho kuzima moto, nashauri hizi siku zilizoongezwa kama hujalipia lipa mapema, uzoefu unaonyesha muda ukiongezwa watu wanarelax wanakuja kujazana siku za mwisho..... Hapa tatizo sio TRA tatizo n sis tulizoea kuzima moto... Hata kwenye uhakiki wa TIN kulikuwa na same issue.
 
Watz wengi wanapenda sana kusubr siku za mwisho kuzima moto, nashauri hizi siku zilizoongezwa kama hujalipia lipa mapema, uzoefu unaonyesha muda ukiongezwa watu wanarelax wanakuja kujazana siku za mwisho..... Hapa tatizo sio TRA tatizo n sis tulizoea kuzima moto... Hata kwenye uhakiki wa TIN kulikuwa na same issue...
 
Watz wengi wanapenda sana kusubr siku za mwisho kuzima moto, nashauri hizi siku zilizoongezwa kama hujalipia lipa mapema uzoefu unaonyesha muda ukiongezwa watu wanarelax wanakuja kujazana siku za mwisho..... Hapa tatizo sio TRA tatizo n sis tulizoea kuzima moto... Hata kwenye uhakiki wa TIN kulikuwa na same issue....
 
Watz wengi wanapenda sana kusubr siku za mwisho kuzima moto, nashauri hizi siku zilizoongezwa kama hujalipia lipa mapema, uzoefu unaonyesha muda ukiongezwa watu wanarelax wanakuja kujazana siku za mwisho..... Hapa tatizo sio TRA tatizo n sis tulizoea kuzima moto... Hata kwenye uhakiki wa TIN kulikuwa na same issue.

Umeenda kulipa mkuu? Wanasumbua sana. Mara system ziko down wakati umepanga foleni mass matatu
 
Back
Top Bottom