nyamujulemukama
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 147
- 64
hiyo ni indicator kwamba hakuna ajira na viongozi wetu wanalichukulia simple wameshindwa kuwa wabunifu na ku explore more jobs.
.
wanasema majibu yanatoka baada ya saa 24 toka umemaliza kufanya mtihani..
Hiyo yaweza kuwa kweli kama unatakaka kuajiri proffesionals with experience n.k Lakini kama unataka direct from univercity labda utumie vigezo vya kuwagawa kama umri usizidi miaka labda 20,class ya degree zao na performance zao at secondary and primay level,gender,marital status,etc vigezo ambavyo ni discriminatory Lakini kama unataka equal opportunity for all inatakiwa uwaite wote wajaribu bahati zao kwenye interviewMi navofaham.. inpendekezwa shortlisting ifanyike kwa ratio ya 1/3 or 1/4.. yaani kama unahitaji watu 20 hardly unaweza kuita watu for interview kama 60 had 80... lkn kuita watu 1000 is inefficiency .. labda kuwepo na justfication nyingine
Usilalamikie shortlist hilo ni bomu litalipuka siku moja maana hiyo ni indicator kwamba hakuna ajira na viongozi wetu wanalichukulia simple wameshindwa kuwa wabunifu na ku explore more jobs. Nawaomba tuache ushabiki wa kisiasa tuzisome ilani za vyama vyetu vya siasa tuchague chama chenye ilani itakayotutoa kwenye umaskini wakujitakia na ukosefu waajira.
.