Una point hapo kwenye swali lako mtoa mada,Siku moja nakumbuka Emirates Airlines waliwaita watu waliokuwa shortlisted kwenye interview,nilibahatika kuwepo,watu tulikuwa kama 52 hivi,waliochukuliwa siku hiyo walikuwa 6 tu,kulikuwa na dada mmoja mmarekani hakuchukuliwa,alianzisha kizaa zaa cha nguvu sana,kwanza alitaka aonane na CEO pili aliuliza kwenye CV yangu mliona details zote sasa mliponiweka kwenye shortlisted maana yake asilimia 96 mmenichukua,sasa inakuaje bila maelezo mniambie hamjanichukua??ilikuwa ni shiidaa siku ile,ilibdi wamwite pembeni baada ya mwezi nilimwona akiwa ndani ya sare ya Emirates !!.
Huwezi ukaita watu shortlisted wakaja kwenye interview kwa kutumia gharama kubwa na mda wao umepoteza ukawaacha tu bila maelezo ya kulidhisha,umeona CV yangu ndio maana umeni shortlisted.