Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,371
- 2,377
Nimesikia Tamko la Kamishna wa elimu kwa mlipa kodi Bw.Kayombo akisema TRA watatoa zawadi ya asilimia 3 kwa watoa taarifa za ukwepaji kodi
Taarifa yake mbeleni inajifunga kwa kutoa maximum limit ya zawadi hiyo kuwa Ni milioni ishirini tu
Hii inamaanisha stahiki italipwa kwa kufichua kodi hafi milioni 670 tu zaidi ya hapo mtoa siri hatopata zaidi hata kama amefichua ukwepaji wa mabilioni
Mtazamo wangu ni kuwa wanatengeneza nafasi kati ya mfichuaji ukwepaji kula njama na mkwepa kodi na kulipana kiasi zaidi ya hiyo 20m na kuiacha solemba serikali
Ni fusk kwa mtoa taarifa ya ukwepaji mabilioni ya fedha halafu yeye akaambulia dola 9000 tu