Mwezi uliopita niliandaa mahesabu mapema sana, mtandao ukasumbua toka tar 15, nikawachek WhatsApp tar 18, kimya had 20 wakanila kichwa, tar 21 ikakubali kirahisiii, na penalty juu.
Nimesema silipi penalty, nione mwisho wake.
Mwezi huu nime file toka tar 13. Halafu eti wameongeza muda.