TRA chunguze kampuni ya Cool Blue

TRA chunguze kampuni ya Cool Blue

kwanini tu

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
50
Reaction score
63
TRA acheni kukimbizana na wafanyabiashara wazawa tena wadogo.
Kampuni ya wahindi Cool Blue hawaruhusiwi kutoa efd, mbona hamdili nao au hii kampuni mkubwa gani ana share kule?

Copy nimetuma kwa Waziri wa Fedha .
 
Du mdau umeileta huku hawakawii kukujua ni wewe. ni bora ungeenda TRA au ungeandika kwenye tovuti yao kuna sehemu nimeona tax evasion and staff misconduct ili wawafatilie. maana hivi wanaweza jificha wasijulikane.
 
Back
Top Bottom