TRA Call for Employment.

TRA Call for Employment.

Dr.Mpande H

New Member
Joined
Dec 8, 2009
Posts
1
Reaction score
1
Wana JF hawa jamaa waliwafanyia watu interview kule UCC kuna wadau walioitwa kazini maana naona miezi imeenda alafu kimyaaaaaaaa...
 
enz hzo hakuna efd mashne ndio tra ilkuwa tra watu wanapga diili sku hz tsh lak 9 to 1m mwsho wa mwez funga kaz
 
Hakuna tena kukadiria ushuru wa magari kila kitu kwenye calculator yao, kila aina ya gari kodi inajulikana hahahaa
 
Tra nao wanapga mihayo tu kama walimu saivi.
 
TRA ilikuwa zamani hizo

enz hzo hakuna efd mashne ndio tra ilkuwa tra watu wanapga diili sku hz tsh lak 9 to 1m mwsho wa mwez funga kaz

TRA kwisha habari yake siku hizi, ujanja ujanja tuuuuuuu...:hand:

Hakuna tena kukadiria ushuru wa magari kila kitu kwenye calculator yao, kila aina ya gari kodi inajulikana hahahaa

Tra nao wanapga mihayo tu kama walimu saivi.

Maisha magumu, wabongo tumepanic tunashindwa kujibu maswali aisee..
 
hahahahaha matangazo yakitoka hamtuambii ila mkiona chenga huko ndo mnakuja kuulizia wapigie simu uwaulize si una no yao waliokuitia kwa interview!humu ndani watu tumevurugwa!
secret service tehteh raia wamepanic
 
Ha ha ha!!!
 
Hahaha matangazo yakitoka hawatupii hapa wakikosa wanakuja kuuliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom