TRA Assistant Information System Administrator Interview

BabaC

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
94
Reaction score
60
Jamani nimepigiwa simu na watu wa TRA kuwa ninatakiwa kwenye interview ya Assistant Information Systems Administrator interview tarehe 04/11/2013 na venue ni University of Dar es salaam main compus lakini kwa bahati mbaya sikuweza kupata muda ambao interview itafanyika maana nimepigiwa simu nikiwa na boss wangu mnoko kwa hiyo kuhoji ilikuwa issue plus wameahidi kunitumia kila kitu kwenye mail leo lakini hawajanitumia,tafadhari kama kuna mtu ambae amepigiwa simu anitaarifu ama kama kuna mtu mwenye email ya maelekezo anisaidie pia nimejaribu kupiga simu iliyonipigia haipokelewi.Usiogope kunisadia maana kama kazi ni yako Mungu amekuandikia hata kama waje watahiniwa 1000000 ni yako tu
 
samahani ndg nafasi hizo zilitangazwa mwezi gani maana kuna ndugu aliomba lakini yuko shambaa isije akatafutwa na akakosa kupatikana
 
Mungu akutangulie, nami ninasubiri ya Internal Investigation sijui ni lini kwani wako kimya kweli
 
Jamani nimepigiwa simu na watu wa TRA kuwa ninatakiwa kwenye interview ya Assistant Information Systems Administrator interview tarehe 04/11/2013 na venue ni University of Dar es salaam main compus lakini kwa bahati mbaya sikuweza kupata muda ambao interview itafanyika maana nimepigiwa simu nikiwa na boss wangu mnoko kwa hiyo kuhoji ilikuwa issue plus wameahidi kunitumia kila kitu kwenye mail leo lakini hawajanitumia,tafadhari kama kuna mtu ambae amepigiwa simu anitaarifu ama kama kuna mtu mwenye email ya maelekezo anisaidie pia nimejaribu kupiga simu iliyonipigia haipokelewi.Usiogope kunisadia maana kama kazi ni yako Mungu amekuandikia hata kama waje watahiniwa 1000000 ni yako tu

Mbona ujasumbua hivyo...Wewe ikifika tarehe 3 Nov, nenda kapige kambi hapo UDS ikiwezekana kesha kabisa...ebo!!!
 
Kama upo dsm nakushauri nenda makao makuu ya tra pale posta sio long room,
Hapo tra hq kuna idara ya utawala na utumishi, nenda kwenye hiyo idara kawaulize watakupa taarifa zote kwa kina, hawana hiyana na ni watu wazuri,
 
Jamani nimepigiwa simu na watu wa TRA kuwa ninatakiwa kwenye interview ya Assistant Information Systems Administrator interview tarehe 04/11/2013 na venue ni University of Dar es salaam main compus lakini kwa bahati mbaya sikuweza kupata muda ambao interview itafanyika maana nimepigiwa simu nikiwa na boss wangu mnoko kwa hiyo kuhoji ilikuwa issue plus wameahidi kunitumia kila kitu kwenye mail leo lakini hawajanitumia,tafadhari kama kuna mtu ambae amepigiwa simu anitaarifu ama kama kuna mtu mwenye email ya maelekezo anisaidie pia nimejaribu kupiga simu iliyonipigia haipokelewi.Usiogope kunisadia maana kama kazi ni yako Mungu amekuandikia hata kama waje watahiniwa 1000000 ni yako tu

Haina haja ya kupiga kambi wala kwenda makao makuu ya TRA kuulizia maana watakuona kama vile haupo makini kivile unless uende kusema kuwa unauliza kwa ajili ya ndugu yako alieko Namtumbo. Haya tangazo hilo hapo na Mungu akutangulie.

We are pleased to inform you that you have been selected to attend employment interview (written) for the post of ASSISTANT SYSTEMS ADMINISTRATOR which will take place on Monday 4th November, 2013 at UCC HQ - University of Dar es Salaam, Mwalimu Nyerere Campus beginning at 0800 hrs.

Please bring with you this invitation letter, Identification card, Original certificates and Ball pen.

We hope you will respond positively towards this invitation letter.
[TABLE="width: 100"]
[TR]
[TD]Sgnd
J.N.O.K Mziray
For: COMMISSIONER GENERAL
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
NDUGU TUSAIDIE KUNA TULIOOMBA NAFASI YA INTERNAL INVESTIGATION, inasemekana na wao watafanya usahili siku hiyo lakini hatujaona tangazo lake, kama unataarifa sahihi tusaidie.
 
Jamani tujuzane kwani za internal investigator ziko tayari nazo? Please na cc wengine tuliomba tunaomba updates mwenye nazo!
 
samahani ndg nafasi hizo zilitangazwa mwezi gani maana kuna ndugu aliomba lakini yuko shambaa isije akatafutwa na akakosa kupatikana

Nafasi hizo zilitangazwa mwezi wa nne mwaka huu si unajua mambo ya serikali hapo yawezekana wanataka watu mwakani mwezi wa kwanza
 
Mbona ujasumbua hivyo...Wewe ikifika tarehe 3 Nov, nenda kapige kambi hapo UDS ikiwezekana kesha kabisa...ebo!!!

You are not serious for sure, but anyway nimekusamehe bure
 
Bora hawa hawaiti watu kwa magazeti

Yaani hawa watu wanaoiita watu kupitia magazeti bwana wanaharibu sana maana kuna jamaa aliwahi kupigwa chini na mwajili wake eti simply b'se ameona jina lake kwenye gazeti
 
NDUGU TUSAIDIE KUNA TULIOOMBA NAFASI YA INTERNAL INVESTIGATION, inasemekana na wao watafanya usahili siku hiyo lakini hatujaona tangazo lake, kama unataarifa sahihi tusaidie.

Sijajua hizo nafasi za Internal Investigator kama waliapply online ama walipeleka kwa post, kama ni kwa posta sina uzoefu sana but kama aliaply kwa online acheki tu email yake watakuwa wameshamtumia hata kama simu yake ilikuwa haipatikani
 
Na mim nimechaguliwa kwenye interview tra itakayofanyika 4 nov kwa position ya WEB DEVELOPER ila sijawahi kufanya interview hata moja wamesema itakuwa ni written jee kuna mdau yoyote wameshawahi kufanya interview tra ya written and oral common question zao za written sina focus wap plz i need ur help​
 
hata na mmi nimepitiwa sim na tra interview itakuwa 4 nov ni position ya WEB Developer ila sijawahi kufanya interview hata moja wamesema itakuwa written jee hiyo written interview wanafocus kwenye maeneo yep ili tupate kujianda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom