TRA Arusha mmehongwa na CRDB?

TRA Arusha mmehongwa na CRDB?

KOCHECHA

Member
Joined
Nov 5, 2012
Posts
38
Reaction score
7
Baadhi ya maofisa wa TRA AUSHA wananishangaza sana unapokwenda kulipia kodi za ndani na za leseni za udereva wanakulazimishe ukalipie CRDB ambao wapo nao jengo moja,wakati hapo CRDB kuna foleni ndefu mno imezunguka kama kamba ni kwamba lazima ukae zaidi ya masaa matano.

Sasa sisi wananchi wengine tunaojua kwamba mabenki mengine nayo yanatoa huduma hiyo hatuendi hapo tunaenda benki nyingine na baada ya mda mfupi tunarudisha deposit slip ,chakushangaza unaambiwa umeenda kulipia wapi mbona hujaenda CRDB ninachojiuliza inamaana hawa wanataka sisi tushinde kwenye foleni.

Ninawashangaa sana hasa huyo mzee msimamizi wao hapo,na fomu yako inaweza ikapotezwa hata mwezi mzima inamaana huyo mzee anakwamisha utendaji kazi wa hapo TRA.

Jamani wahusika toeni huyo mtu hapo.
 
Labda ndo utaratibu uliopo......hua inaboa sana
 
Hamna! ni pesa tu imetembezwa, si wajua CRDB ni wazee waloby? hao ndio CRDB!
 
jaribu kufuatilia kwa makini utagundua kuwa kila branch ya tra ina benki pembeni yake, nenda kilimanjaro pembeni kuna nmb na ndo wanaitumia kwa moshi, nenda morogoro mjini, pembeni kuna crdb na ndo inatambulika, nenda kinondoni(mwenge) pembeni kuna nmb na ndiyo inayotambulika kwa mwenge, nenda tra jknia(airport dar) malipo yote ya tra ya airport-dar yanafanyikia branch ya twiga iliyoko airport dar, pia ilala, tmk, na kwingineko kote utagundua kila penye tra kuna benki pembeni na inakulazimu kutumia tawi la benki lililopo karibu na hyo benki!
Je kwa nini inakuwa hvyo?
Unapojaza ile form ya kulipia tra huwa kuna copy ambayo benki inabaki nayo na nyingine tra orijino unabaki nayo mteja, ili tra wawe na uhakika kuwa umelipa unachotakiwa kulipa kuwapa ile copy ya malipo tu haitoshi, lazima watakwenda benki husika kuchukua nakala uliyoiacha huko wakati wa kufanya reconciliation. Sasa fikiria kila mtu amelipa katika benki yeyote ndani ya eneo husika huoni inawapa wakati mgumu kuanza kuchambua nani amelipia wapi?
Pia kila benki inayotumiwa na tra huwa imeunganishwa na tra kwa namna ambavyo tra wanaweza kuretrieve malipo yako bila kwenda physically benk uliyolipia.
Na kama upo makini utagundua si kila branch ya crdb iliyoko arusha unaweza kulipia tra!
Ni mawazo yangu tu, kama kuna watu wa tra huku watasema zaidi.
 
Hauko sahihi mkuu! TRA wana akaunti ktk benki nyingi sana! na zote unaruhusiwa kulipia malipo huko then unawakilisha slip TRA ambayo baadaye lazima wacross chek kabla huduma yako kukamilika!

So unapolazimishwa kulipia benki flani kuna walakini! Hilo liko wazi kbs,
 
nahisi ni maelekezo toka serikalini, HAO TRA WALIKUWA WANABINAFSISHA HIZO HELA.................!!
 
Sitaki kuzungumzia ukabila kabisa kwani sio kitu kizuri.Mi nahisi ni kwa sababu ya ukaribu
 
Hakuna cha ukaribu yote hayo ni mazingira ya Rushwa! Usije ukaniuliza ni kwanini? nina mifano mingi sana kuhusiana na wale vishoka wanaokaa hapa nnje TRA Arusha!
 
Jamani twndeni kisomi zaidi, kam A/C ni moja hata ukilipa sehemu mbalimbali ukiprint statement si inaonyesha transactions zote hata kama ni matawi tofauti ya benki hiyo hiyo?
 
Unaishi Tanzania kweli wewe?
 
Back
Top Bottom