kwa taarifa nilizopata leo kwa mtu aliyekutana na mtu mzito wa pale wataita mwezi ujao kuanzia katikati kwa kuwa maombi ni mengi sana na mchakato unaendelea na kuna uwezekano wa kufanya interview moja na ajira ni fasta baada ya interview... so endelea kusubiri mkuu...wadau mwenye taarifa kuhusu tpdc kama waeshatoa shortlist
kwa taarifa nilizopata leo kwa mtu aliyekutana na mtu mzito wa pale wataita mwezi ujao kuanzia katikati kwa kuwa maombi ni mengi sana na mchakato unaendelea na kuna uwezekano wa kufanya interview moja na ajira ni fasta baada ya interview... so endelea kusubiri mkuu...
habari za uhakika za nyuma ya pazia toka tpdc ni kwamba hawa jamaa huwa hawachelewi kuita watu na mchakato uko fasta lkn nw wamechelewa sana wanashindwa cha kufanya maana vimemo ni vingi kupita kiasi kutoka ikulu,wizarani,idara nyeti serikalini na kila kona ya serikali...so hata wakiita itakuwa ni formality tu,watoto wa walalahoi hatuna chetu...lkn tuzidi kuomba maana liko Tumaini MUNGU pekee...tuombe aingilie kati...amen
ni noma sana aisee Secret Service...tuzid kumuomba Mungu tu...dont quit...pambanaduh.
I quit.
ni noma sana aisee Secret Service...tuzid kumuomba Mungu tu...dont quit...pambana
ameeeen...yote yawezekana kwa Mungu!