Comrade ZD
Member
- Jan 7, 2013
- 26
- 11
vigezo vya 1st class na upper 2nd naona wameweka tu ili kudiscourage watu..kwa vyuo vya umma si wengi sana kupata hizo..lakini tujaribu tu ila daah kwenye legal officers wameua full ma experience sasa unajiuliza experience yote hiyo bado mtu hujagonga 30 kweli..?ila wanatishia tu nafikiri..all the best..nimecheki zimetulia kweli lakin vigezo navyo vimeshiba ila tukapambane..........iyo tpdc ps 5 inaonekana imetulia
Ahsante lakini sisi wengine umri umezidi maana wanataka vijana (watoto)
Jaman hayupo wa kuandika hizo post hapa tukaziona maana wengine tunatumia simu hazifungui pdf,hakuna umeme wala internet cafe,simu tunachaji kwa jenereta
Duh! pole...sasa kwa matatizo yote hayo utaweza kweli kuja interview Dar???
Jaman hayupo wa kuandika hizo post hapa tukaziona maana wengine tunatumia simu hazifungui pdf,hakuna umeme wala internet cafe,simu tunachaji kwa jenereta
Sio simu zote,mimi natumia simu na post zote nimeziona labda simu yako uwezo wake mdogo
2saidien jaman kupachikwa hp wengne bado ha2jaziona
Interview na tatizo la umeme havina uhusiano! Hakuna umeme lakini huduma nyingine zipo,nafanya biashara ya mazao kijijini baada ya kumaliza chuo kikuu sikutaka kukaa mjini-kama ni interview usiwe na hofu mkuu...ishu ni umeme tu hapa ni tatizo tunawasha jenereta usiku saa moja mpaka sita usiku
Nendeni Net Cafe mtaziona kwa urahisi kuliko kuangaika na TECNO....tulioziona kwenye simu ni wachache tunaomiliki ma samsung galaxy
Namna ulivyojieleza hapo juu nikajua labda unaishi vijiji vya ndani sana ambako hata taarifa za kuitwa kwenye usaili unaweza usizipate...fikiria kama simu haina "chaji" na ndio njia pekee ya wewe kufikiwa....