Z zainath Member Joined Oct 30, 2013 Posts 16 Reaction score 5 Oct 31, 2013 #1 kwa wale walioitwa kwenye usaili wa tpdc tarehe 4/11 ambao umepangwa ufanyike msimbazi centre, mimi msimbazi centre napajua ila swali langu ni kwamba ni jengo gani?
kwa wale walioitwa kwenye usaili wa tpdc tarehe 4/11 ambao umepangwa ufanyike msimbazi centre, mimi msimbazi centre napajua ila swali langu ni kwamba ni jengo gani?
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,519 Oct 31, 2013 #2 Ukifika uliza tu na sehemu yenye interview haijifichi
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,812 Reaction score 63,268 Oct 31, 2013 #3 hongera kwa kuitwa interview. mia