Wakuu,
Kwa wale waliofanya usaili wa TPDC from day one to-date, hapa kuna updates za waliofanikiwa kupita hatua ya kwanza na kwenda hatua inayofuata, please, check confirm your name hereunder:
http://www.tpdc-tz.com/DRIVERS_RESULTS.pdf
http://www.tpdc-tz.com/Chemical_2014.pdf
http://www.tpdc-tz.com/Mechanical_2014.pdf
Best wishes to you all.
hii itakuwa kwa wote ndugu yangu????
mkuu napata shida kuangalia na simu yangu, yanafunguka vizuri tatizo namba zote naona hazina highlight, wakati wameelekeza namba zilizokuwa highlited ndo wamepita. msaada kuyaweka hapa chemical engineering