Panda gar posta au kariakoo then shukia sayansi....then chukua bajaj 1500 waambie akupeleke tpdc house estate iko karib na rose garden
Kwahiyo nikipata kazi ni mwendo wa bajaji kila siku mweh!
In this world nothing is certain than Tax and Death.
Kwahiyo nikipata kazi ni mwendo wa bajaji kila siku mweh!
In this world nothing is certain than Tax and Death.
Ukipata kazi utafanyia BM towers(City Centre)....hizo estate ni office za zamani
ofisi za mtwara zipo mikindani siyo mjini kivile
ofisi za mtwara zipo mikindani siyo mjini kivile