Jamani tuongeeni tu ukweli, sitaki kumdhalilisha mtu. Ni kwamba washauri katika klabu zetu ni wazee hawajaenda hata shule wao wanakali kupiga kamati za ufundi. Timu za wenzetu wana washauri walioeenda shule, wengi wao wana masters za business admin. na wengine economics we unafikiri hawatakuja na miradi ya maana ya maendeleo? Sasa mzee mshauri wa timu ya kibongo hata ndege hajawahi kupanda, yeye kwenye akili yake anaamini vitu kama hivyo haviwezekaniki kwenye club yao, ona hapo mwenyewe.