TP Mazembe wabingwa kombe la Shirikisho Afrika

TP Mazembe wabingwa kombe la Shirikisho Afrika

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,881
Watoto wa Mosee Katumbi leo wametwazwa kuwa mabingwa wa kombe la Shirikisho badala ya kwenda Sare na Supersport ya Afrika kusini awali Mazembe walishinda 2-1 pale jiji la Lubumbashi.

Timu zetu zipate somo kutoka kwa Tp Mazembe.hongereni akina Mputu,Adjei,Kidiaba,nk
 
Back
Top Bottom