TP MAZEMBE 'si lolote' AFRIKA... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TP MAZEMBE 'si lolote' AFRIKA...

Discussion in 'Sports' started by VUTA-NKUVUTE, Oct 20, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Bao la dakika ya 70 la Mansour lilitosha kuwasukuma nje TP Mazembe kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na kuwafanya Esperance watinge Fainali ya pili mfululizo.Sasa Esperance watakuwa na nafasi ya kutetea kombe lao hilo.Habari ndiyo hiyo...
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Duuh Samatta vipi tena
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ndo hivo tena..........
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Urefa urefa ulitawala.
  Muteba Kidiaba alikuwa akimulikwa usoni na spotlights muda wote wa mchezo, goli lenyewe lilifungwa huku kipa akikanyagwa.
  Esperance hawakuonesha kiwango kikubwa cha kustahili ushindi. Sijui kwanini Mazembe hawakumaliza game Lubumbashi?
   
 5. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,345
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Kama unajua mpira na uliuangalia tp aliminywa sana juzi. Ila nafurahi dogo ana goli 6 tena baada ya kukosa game 2 cz aliumia bega. Othwz mputu angesubiri.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 6. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Game yoyote ambayo huwa inachezwa kwa waarabu na ni lazima wasonge mbele lazima wabebwe kila siku!
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kuna miaka Enyimba walikuwa wanawaweza kweli kweli, game zinazochezwa Enugu anamaliza shughuli mapema, akienda kwenye fitna inakuwa kupaki basi tu.
  Hata Mazembe nao majuzi kabla hawajahujumiwa walikuwa wanawaweza sana...
   
 8. m

  mourad77 Senior Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ache unafiki nyie TP Katandikwa kisawa sawa na hakuna aliebebwa hata 1st leg lubumbash alikoswa kswa nafuatilia saana juu ya kutaka kubadilishiwa marefa katandikwa na refa wao Msenegal chezea MABINGWA WEWE Udhaifu wao ulionekana toka mwanzo walikuwa wanakwepa kukutana nao watunisia hao Ahly alikwepa makusudi
   
Loading...