CCM mmesha kosa kura yangu kwa kutulimbikia matozo kwenye Kila kitu, huku sisi Wana Nchi wakawaida umaskini unatutafuna. Aliye buni hii kitu ya tozo.Mungu atamlipa.
Lipeni Kodi taifa haliwezi piga hatua ya maendeleo pasipo kulipa Kodi,Kama hutaki ingia kwa road Kama wanaume wa Sudan ila Kama unajifanya shujaa wa keyboard lipa Kodi.