C Comfucious pedagogy JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 211 Reaction score 39 May 6, 2014 #1 eti jamaa anatoka keko hadi mliman city kwa miguu na ananunua mkate wa book tu.
Charity24 Senior Member Joined Jan 31, 2014 Posts 124 Reaction score 154 May 6, 2014 #2 Duh! Sipati picha hilo jasho lake. Nadhan nia yake kubwa ni kwenda kula kwa macho wale mabint wanaozurura pale mlimani city wakiwa wamevaa kimtego bila kujua wengi wao ndo haohao wanaojiuza bei rahis usiku huko sinza na kwingineko...
Duh! Sipati picha hilo jasho lake. Nadhan nia yake kubwa ni kwenda kula kwa macho wale mabint wanaozurura pale mlimani city wakiwa wamevaa kimtego bila kujua wengi wao ndo haohao wanaojiuza bei rahis usiku huko sinza na kwingineko...
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,793 Reaction score 123,831 May 7, 2014 #3 Comfucious pedagogy said: eti jamaa anatoka keko hadi mliman city kwa miguu na ananunua mkate wa book tu. Click to expand... Huyo atakuwa anafanya Diet ya kupunguza unene,nani mazoezi tosha,Safi kabisa.
Comfucious pedagogy said: eti jamaa anatoka keko hadi mliman city kwa miguu na ananunua mkate wa book tu. Click to expand... Huyo atakuwa anafanya Diet ya kupunguza unene,nani mazoezi tosha,Safi kabisa.