hapo zama nilikua naish kitaa kimoja chauswahili na nilikua bonge labishooh kwakuwabadili madem na pamba zangu zakuazma huku nikijifanya mie anderglaund wa hip hop madem walinipenda xana na kila mmoja akitamani ku det na mimi ijapo hawakujua nafanya kaz gan siku moja niko zangu job na mavaz yangu ya kaz nimemkamata machinga mmoja kariako wale wasichana wakitaa chahome wakaniona nakuanza kunifuata aise nilikimbia nakwenda kujificha kwenye maduka walinicheka xana toka siku hiyo kitaa naitwa toz mgambo.