mkuu ameweka kwenye kichwa cha habari, angalia vzrWeka na bei kabisa, unaogapa nn kwani bangi hiyoo?
Ipo Sameipo wapi mkuu
Chukua namba tuwasilianeMkuu Ukishusha Bei Kidogo tuwasiliane tufanye Biashara...
UmeonaeeGari imekaa poa aisee
Siko vizuri mkuu ningeihukua,ikifika November haijauzwa ntaichukuaUmeonaee
Cover yake ndo imepasukaTaa ya nyuma kulia umeweka wapi?
InshaallahSiko vizuri mkuu ningeihukua,ikifika November haijauzwa ntaichukua
mkuu nimepata fungu la mwaka mpya ...mzigo bado upo ..njoo PM kwa maelewanoNauza gari aina ya Corolla X #B,ipo katika hali nzuri,cover ya taa moja ya nyuma imepasuka
Engine type VVT-I
Eng size. 1496
Milage. 137300km
Ful AC
Haidaiwi
Whatsapp/Call: 0652953807