Toyota vx for sale ,na zx

Toyota vx for sale ,na zx

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
2,045
Reaction score
551
MAKE TOYOTA ENGINE IHZ ,4200cc, mwaka 1996,manaul transmision zote ziko kwenye hali nzuri .bei dola 18500 ,kwa kila moja picha nitawawekea wakuu
 
Ni kosa kisheria kulipwa dolor unajua hili?
 
bei hiyo kubwa sana kwa gari la miaka 18. mbona unataka kulangua watu?

hujaandika chochote zaidi mileage, owners wangapi wametumia, na bei uweke ya Tshs sio dola. wizi mkubwa sana nyie wauza magari kwa bei kubwa ni shida au tamaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom