Toyota Voxy (mpyaa) inauzwa

Toyota Voxy (mpyaa) inauzwa

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,878
Reaction score
1,061
Gari tajwa hapo juu inauzwa, ina miezi mitatu tangu iingie hapa nchini, ina Bima kubwa, imelipiwa ushuru, haina tatizo polite
Km 140000
Cc 1990
Year 2003
Imesajiliwa # DDT
price 12,000,000
Nicheki #655119779
 

Attachments

  • 1436677477166.jpg
    1436677477166.jpg
    24.9 KB · Views: 225
Voxy mpya iliyotembea km 140000????

Wonders shall never end...
 
Duh umekariri mkuu! 140000 km ni mpya!!? Eti kwa Tz ni mpya! Pole sana kwa mtazamo finyu kuwa mtumba wa Japan bongo ni new brand.
 
Mkuu kuwa makini unavoagiza gari nje su unsvonunua hapa, km140000 ni nyingi sana, hapo depreciation imefika 70%
 
Mkuu kuwa makini unavoagiza gari nje su unsvonunua hapa, km140000 ni nyingi sana, hapo depreciation imefika 70%

As ante kwa ushauri ndugu Turudi kwenye biashara tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom