picha sijui jinsi ya kuatach labda unipm email yako au whatsapp
Make: Toyota
Model: Voxy (Noah)
Colour: Golden
Engine Capacity: 1990
Fuel Used: Petrol
Year of Manufacture: 2004
Imported from Japan: 13[SUP]th[/SUP] September 2013
First Registration: 16[SUP]th[/SUP] September 2013
ODO: 104,442
Bei Tshs. 16,000,000/=
Gari haijawahi kwenda nje ya DSM na haina mikwaruzo wala matatizo yoyote kwenye engine yake.
Nahitaji serious buyers tu wanitumie SMS kwenye 0717188257 nami nitawapigia. SIHITAJI MADALALI.
Sijui jinsi ya kupost picha JF, ningewawekea mapichaz.
Nawakumbusha wakuu biashara bado iko sokoni ila bei imeshuka mpaka 13mil.
Mkuu nimenunua prado sasa siwezi kumiliki magari mawili kwa mpigo.
Mkuu yani in less than a months 3m zimetolewa, unatia mashaka na quality ya gari lako
Mkuu yani in less than a months 3m zimetolewa, unatia mashaka na quality ya gari lako
Hizi gari bana zina very complicated sensors, Matatizo kwa mafundi wetu wa chini ya mti.
Nawakumbusha wakuu biashara bado iko sokoni ila bei imeshuka mpaka 13mil.