Toyota voxy for sale

Toyota voxy for sale

Duh bonge la Kitimoto(A town nick name 4noah&voxy),hii kitimoto punguza bei mkuu.
 
Hahaaa, duh zinavyoitwa hivyo..!!! inapungua bei mzee
 
Hizi Gari hata unipe bure sichukui.
Na nkienda mahali ambapo wanatumia kama daladala basi bora nitembee kwa miguu.

Kisa?? Eti sababu ya hilo jina la "Kitimoto"
 
Hizi Gari hata unipe bure sichukui.
Na nkienda mahali ambapo wanatumia kama daladala basi bora nitembee kwa miguu.

Kisa?? Eti sababu ya hilo jina la "Kitimoto"

Imani yako inaweza kuhamisha milima :wink2:
 
13 iko chini kidogo. Hii gari haiziwi shida na wala sibezi bei yako ila nataka kukwambia kuwa ni gari iko kwenye kiwango sana na sokoni nadhani unajua bei zake kwa sasa
 
Back
Top Bottom