Toyota voltz

Toyota voltz

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Wakuu salama? naombeni kujua hasa kwa wale ambao walishaitumia tyt voltz. Vipuri au spare parts zake znapatkana na kama znapatkana bei ipoje? vp hii gar mara nying ina mata tzo gan?

Nawategemea asaten
 
Hii ungeipeleka jukwaa la magari kule technology
 
Back
Top Bottom