Toyota vitz Rs

Wanaponda na unaweza kuta wao wanamiliki pikipiki huoniao au wanamiliki baiskeli chopa kujidai wanafanyia mazoezi au wanajidai wamenunua pikipiki kukwepa folen dar kumbe ndo usafir wao
wewe mgeni humu jf eeeh!! humu bwana kila gari Kali, kaenda ulaya na america, anaishi dar n.k
 
Hebu nieleweshe hapo kwenye d4 engine
D4 engine ni mfumo mpya baada ya vvti unatumia umeme na sensor nyingi lakini ni nzuri ingawaje mafundi wetu hawazitaki kwa kuwa ni modern sana. Mara nyingi hupatikana kwenye verossa, vista, corona premio na mark x au crown. Kwenye gari ndogo bado sijaziona.
 
Sasa faida yake Kubwa ni ipi?
 
Vitz rs ni tofauti hizo vits nyingine na ina cc kubwa ni 1300 sio 990 ni nzuri hata safari inaweza
mkuu kuna dogo langu anataka gari ya kuanzia,sasa anataka ushauri between star let na vits rs achukue ipi hasa ukizingatia ugumu wa gari na wese na,spear.
 
Si ugoogle? Tatizo wabongo wanapenda kudanganywa kwa vistory au hadithi nyiingi zenye facts kidogo. Inakuwa kama zile muvi za Kichina zilizotafsiriwa kwa Kiswahili!
 
Back
Top Bottom