TOYOTA VITZ NZURI INAUZWA 5.3M

TOYOTA VITZ NZURI INAUZWA 5.3M

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
850
Toyota vitz iko poa kama inavyoonekana kwenye picha ...

imetunzwa vizuri sana,seat cover,full ac,tyre ziko poa View attachment 1182721
IMG-20190814-WA0005.jpeg
IMG-20190814-WA0004.jpeg
IMG-20190814-WA0002.jpeg
 
Hata mm nimeshangaa aisee.
Kwa vitz namba C hiyo bei ni kubwa sana.
Yaani ukiongeza Kama laki 10 hivi unapata Nissan xtrail
mkuu no sio tija siku hizi...unaangalia condition ya gari husika..unaweza kununua gari no D ukakuta wameshafungua engine ..

Vitz ni economical kuliko xtrail unayoizungumzia..hali yenyewe si unaiona hii ya mzee baba
 
Mkuu gari ikishatumika hivyo unavyoongelea hubaki tu Kama assumptions tu na havina guarantee.
 
Mkuu gari ikishatumika hivyo unavyoongelea hubaki tu Kama assumptions tu na havina guarantee.
kweli ndo maana nimemwambia nimpe 4.2m yan hapo siongez ata 100,nilinunua allex namba d kwa 6.5,sema niliiua kwenye ajari tu
 
kweli ndo maana nimemwambia nimpe 4.2m yan hapo siongez ata 100,nilinunua allex namba d kwa 6.5,sema niliiua kwenye ajari tu
Yes hizo ndio Bei reasonable aisee.
Mkuu Mimi nikiwa na hela Kama yako hyo siwezi kukosa gari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom