Toyota Vitz inauzwa ipo zanzibar.

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,182
6,214
vitz.
model: 2002
mileage: 19000 KM
color: blue
price: 6.5m

pm me for anything
IMG_0547.JPG IMG_0548.JPG IMG_0550.JPG

IMG_0545.JPG IMG_0546.JPG
 
gharama za kureja huku Dar ni za nani.? ilete Dar nitafute nina 5.5
 
Ilete huku Dar.fanya na ragistration kabisa ndio uuze mkuu na bei itabidi isizidi 5m kwani navyojua mimi rangi ya hiyo gari kwa hapo palipo chubuka itakuwa kubwa mno au haipo kitu kinachoweza kukufanya upige rangi gari nzima.
 
Akiri,,, gharama ni juu yako.

Stephot,,, sorry mkuu gari siwezi kuileta Dar na kuiuza kwa bei uloitaja. Na hapo palipochubuka ni padogo, ni injury ya container ambayo haijabonyea sana, ni padogo sana, vile vile naomba ujue kuwa hiyo gari ipo showroom, haijatembelewa visiwani! Na ukitizama imetembea only 19000 KM labda mkuu jaribu kutembelea showroom uskize bei zao!
 
gari imechubuka mbele imeshuka thamani, kama unaona ni tstizo dogo then paka rangi hiyo halafu utafute mteja.

watu mnauza hamjui biashara.

bei kubwa kwa damaged car.
 
gari imechubuka mbele imeshuka thamani, kama unaona ni tstizo dogo then paka rangi hiyo halafu utafute mteja.

watu mnauza hamjui biashara.

bei kubwa kwa damaged car.

Wewe unaejua biashara, nenda showroom hapo dar ulizia vitz bei yake ngapi, na imetembelewa KM ngapi! Unatizama body tu! Hio sehemu ya mchubuko ni padogo sana tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom