Toyota vitz au Suzuki swift,

Richard Nguma

Member
Apr 29, 2011
64
5
Wakuu wa nchi ,makamanda wapambanaji
,naombeni ushauri wenu,nataka kufungua car rent Arusha
na tayari nlishaagiza gari Tatu ,Toyota landcruse prado 2000 diesel 3000 cc,Toyota Noah B 65 4WD ya mwaka
2005, cc 2000 na Toyota Rav ya mwaka 2007 limited
Nimenunua hapa USA but it left drive ); who cares je hii biashara inalipa?next week nataka kuagiza magari madogo Kati ya haya Suzuki swift na Toyota vitz ya mwaka 2004.Je ni zipi nzuri toyata au Suzuki makamanda naombeni ushauri u can reach to me by this # +15015451182 or email richardnguma@ gmail
Nina wasiwasi na hizi gari maana ni rahisi mno &900 FBO na sijui uimara wake ni miaka 4 imepita bila kuja home Arusha na sijui kinachoendelea asilimia 66 hapo home Arusha .wana JF naombeni ushauri wenu makamanda wapambanaji ,M4C ,thanks ,God bless Tanganyika
 
Mkuu naomba kukuliza jambo hizo swift na Vitz ndiyo FOB 900 usd ikiwa ni bei hiyo tafadhali naomba uniunganishe nao.
 
Vitz ni poa zaidi na hata ukipata spacio new Model atleast kubwa kubwa kidogo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu kwa kuwa magari ya US ni left hand drive, unaweza usipate soko zuri kwa tz. Nakushauri ujaribu kuagiza magari ambayo ni right hand drive ndiyo yamezoeleka sana hapa tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom