passo... kama huna haraka sana barabara kuu, hupendi speed, ni muumini wa polepole ndiyo mwendo.. una weza vumilia ukiona mtu wa bajaji anakupita. pia huna uzito mkubwa wewe na mkeo au mwanao au wanao kwa maana ya kuwa msije mkawa wazito ikifika kwenye mlima inabidi mshuke gari ipande au inadibi kusukuma wakati flan. jitahidi uwe unaishi sehemu ambayo ni tambalale. pia zingatia vigezo vya uzito. kama una marafiki wabonge , au ndugu zako halaf wakaomba uwapeleke sehemu... usikubali gari linaweza kukuaibisha. kifupi ukiwa na passo ni sawa na kuwa na bajaji sema hii passo unakuwa upo kwa ndani na ni miguu 4. mimi binafsi huwa nachukulia hivi vigari ni kama vilitengenezwa na wanafunzi waliokuwa field huko japani kwa ajili ya kuwasaidias watoto wadogo na wadada wa kazi wanapoenda sokoni kununua bidhaa za matumizi home.
na kwa nini uitese gari yako kuipeleka mbeya,iringa n.k ? kwa nini uwe na ukatili kiasi hicho? no si vema tuwe na huruma na hivi viumbe.gari nazo zina hisia na unawea kuta inanung'unika sana unapoifanyisha kazi isizoziweza. kama vipi si ununue gari angalau ya kuanzia cc 2000? si mbaya kama hizi za cc 3000 na kuendelea unaona hazikufai. nunua hata rav 4 na ndugu zake. achana na hako kadude..katakukera tu ndugu yangu.
asante Mkuu kwa mchango wako japo mjadala umejikita kwenye Passo kuzidi Vitz mbili zilizotajwa!
ila pia budget yangu pia nilionesha kwenye thread hapo juu natamani hayo makubwa zaidi ila ndo hivo tena!
Kha mkuu asante sana nimecheka kwa haya majungupasso... kama huna haraka sana barabara kuu, hupendi speed, ni muumini wa polepole ndiyo mwendo.. una weza vumilia ukiona mtu wa bajaji anakupita. pia huna uzito mkubwa wewe na mkeo au mwanao au wanao kwa maana ya kuwa msije mkawa wazito ikifika kwenye mlima inabidi mshuke gari ipande au inadibi kusukuma wakati flan. jitahidi uwe unaishi sehemu ambayo ni tambalale. pia zingatia vigezo vya uzito. kama una marafiki wabonge , au ndugu zako halaf wakaomba uwapeleke sehemu... usikubali gari linaweza kukuaibisha. kifupi ukiwa na passo ni sawa na kuwa na bajaji sema hii passo unakuwa upo kwa ndani na ni miguu 4. mimi binafsi huwa nachukulia hivi vigari ni kama vilitengenezwa na wanafunzi waliokuwa field huko japani kwa ajili ya kuwasaidias watoto wadogo na wadada wa kazi wanapoenda sokoni kununua bidhaa za matumizi home.
na kwa nini uitese gari yako kuipeleka mbeya,iringa n.k ? kwa nini uwe na ukatili kiasi hicho? no si vema tuwe na huruma na hivi viumbe.gari nazo zina hisia na unawea kuta inanung'unika sana unapoifanyisha kazi isizoziweza. kama vipi si ununue gari angalau ya kuanzia cc 2000? si mbaya kama hizi za cc 3000 na kuendelea unaona hazikufai. nunua hata rav 4 na ndugu zake. achana na hako kadude..katakukera tu ndugu yangu.
Hiyo ya cc990 kama hao ni watoto haina shida!Hivi gari ya cc990-1290 inauwezo wa kubeba watu watano na ikapiga safari ya km 800?
Browse thousands of Toyota Vitz cars for sale in Tanzania
Browse Thousand Of Vitz For Sale In Tanzania. Get Best Deals From Car Dealers To Individuals Selling Cars In The Largest Car Market In Tanzaniawww.magaribay.com