Saloon, silver, 1999, petrol, 1790cc, imported from Japan first registered in TZ in 13/08/2008, driven by a lady from Sinza to Mlimani City, 41,345km price 7.3mil.Contact 0784225000

Madereva wa kike wanaojua wanakua waangalifu sana wawapo barabarani alaf hawana safari nyingi kama waume. Wao ni kazini baada ya kazi nyumbani. Wakati wanaume wengi wanapitia katika bar kwa mazungumzo ya kibiashara wakirudi huko wamelewa na kusababisha ajari ovyo ovyo.
Kitomai, najua wewe ni dalali mzoefu wa magari hapa JF. Nipe bei za GX 100, ya kuanzia mwaka 1999 na kuendelea, hata kama ni kununua toka kwa mtu. - Engine 1G, cc 2000 - Exceed au Super Lucent - Najua unafanya biashara, lakini itapendeza kama utani-PM pamoja na mawasiliano yako. Ni hayo tu