Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,073
- 1,563
Kibongo ni mpya mkuuGari ni nzuri ila gari ya 2012 huwezi kuita mpya
Wacha zako, mbona kuna km chache zipo au ndio una tupanga sie ma jobless pro maxKibongo ni mpya mkuu
Used Japan new Bongo au vipi.Wacha zako, mbona kuna km chache zipo au ndio una tupanga sie ma jobless pro max
Tajiri kabisaHmm si nilikwambia
Hmm si nilikwambia
Nipigie simu28 unachukua?
Mi natoa wapi ela nadalalia matajiri tuπChukua ndinga iyo wewe, hela unayo wewe. π
AlrightNipigie simu
Acha kumuita huyu Mzee wa tungi.
Mi natoa wapi ela nadalalia matajiri tuπ
Chases namba 42-44 inategemea umekuta seat ngapi.Vanguard ni Rav4 miss Tanzania iliyochangamka au mimi naona vibaya wazee.
Gari inauzika hii mkuu, we pambana tuu.
Kwanini usinipe weweπOngea na Min -me, akupe 20 uongezee ya juu. π