Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 161
Naam mkuuUnamaanisha Suzuki swift?
Kamanda ni suzuki hiyo siyo brand ya ToyotaWakuu habarini za kazi katika pitapita yangu nimekuwa nikikutana sana na hizi gari( Toyota swift) na kwa kweli kwa hali ya maisha iliyo ya kibabe nami nimevutiwa sana kuwa na haka ka mnyama. Nina omba kujua ubora wa hizi gari kwenye safari ndefu kama dar - mwanza ukilinganisha na Toyota cami na terios kid.
Natanguliza shukrani.
Siunajua kamanda now days vichwa vina topic kama 1000 kwa hali ya wakati huu. Shukrani sana kwa usahii mkuuKamanda ni suzuki hiyo siyo brand ya Toyota
Shukrani mkuu ni imara kdg kwenye ruti ndefu
Shukrani sana mkuu vip kuhusu stability yake kwa njiaSuzuki swift ni nzuri ninayo haisumbuisumbui pia consumption yake imetulia
Yangu ni cc 1300 napiga rout sana Arusha to kigoma
Kigoma to kyela
Kyela to dar
Hakajanisumbua kwakweli
Stability ipo japo sio sana siunajua teknolojia yake ni ya nyuma ila iko vizuriShukrani sana mkuu vip kuhusu stability yake kwa njia