Toyota surf for sale

Toyota surf for sale

khauka

Senior Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
100
Reaction score
4
TOYOTA SURF
YEAR 1992
ENGINE : PRADO 3RZ
PRICE 18 MILLION, NIGOTIATABLE. BEI INAONGELEKA
IKO KATIKA HALI NZURI KAMA INAVYOONEKANA.
IPO DAR

Contacts: 0655841348
0754841348
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    320.8 KB · Views: 125
  • IMG00271-20121026-1203.jpg
    IMG00271-20121026-1203.jpg
    344.4 KB · Views: 173
  • IMG00273-20121026-1204.jpg
    IMG00273-20121026-1204.jpg
    410.9 KB · Views: 134
Tatizo la bongo huwa hatujali milage,hilo ndilo la msingi unapouza gari.Sasa unaweza kutuambia milage za gari hilo?Yani nikiwa na maana limeshatembea kilomita ama mile ngapi?
 
Tatizo la bongo huwa hatujali milage,hilo ndilo la msingi unapouza gari.Sasa unaweza kutuambia milage za gari hilo?Yani nikiwa na maana limeshatembea kilomita ama mile ngapi?

Jamaa siku hizi wanauwezo wa ku"temper" na milage. Kikubwa ni uugwana wa muuzaji kutoa data za ukweli.
 
Toyota surf ni balaa kwa unywaji wa mafuta na mwendo wa konokono, Hakuna la kuvutia gari hii zaidi ya mngurumo tu.
 
Toyota surf ni balaa kwa unywaji wa mafuta na mwendo wa konokono, Hakuna la kuvutia gari hii zaidi ya mngurumo tu.

mkuu acha kuharibu biashara za watu. kama huna taarifa za kina ni heri ukae kimya..

swala la mwendo na mngurumo inategemea na aina ya injini unayoitumia 3rz sio injin ye kelele kamabunavodai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom