Toyota Starlet for Sale

Toyota Starlet for Sale

TangAzo limekamilika but ni haina gani ya starlet? umeziba taa za mbele na nyuma, pili bei fixed?
Aina ya hii starlet ni carat sio reflect ni zile zenye taa za duara. Kama ni serious buyer bei inapoa kidogo.

Picha zipo kibao nlishindwa kuapload. Waweza nitumia namba nikutumie ktk watsap.
 
bora mseme, jf ina wapumbavu wanaoleta ujuha kwenye mambo ya msingi...bei ya mil 5.5 anayosema uliyemuita kenge ni bei ya mwaka 2007 mpaka 2009 uko, kwa sasa labda iyo atapata screpa, zile gari japani wanauza usd 400 na wameandika damaged.

nimfafanulie uyo asiyejielewa

fob kwa mgari mbovu usd 500

cif itakuja 1700 kama watachaji 1000-1150 usd for transport

TT fee , paytrade nk nk itakuja usd 1800 mpaka 2000

tuchukulie usd 2000

usd 2000 mara dollar rate (2,000x 2100) = 4,200,000/-

kwa kodi TRA hesabu zilizofanyika ya leo tar07/06/2015 kwa data za mleta mada ni

2,764,384/= yani

Make:TOYOTA
Model:STARLET
Body Type:HATCHBACK
Year of Manufacture:1997
Fuel Type😛ETROL
Engine Capacity:1001 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):1388.55
Import Duty (USD):347.14
Excise Duty (USD):86.78
Excise Duty due to Age (USD):520.71
VAT (USD):421.77
Total Taxes (USD):1376
Total Taxes (TSHS):2764384


jumla 2,764,384 (tax) + 4,200,000(cif)....= 6,964,384/=

umefanya jitihada zoote , gari imefika (hapo kuna gharama zingine cjaziweka) alafu anatokea tahira analeta kejeli...hawa watoto wengi wanaojibugi upumbafu kwenye mada za magari weeengi wao ni watoto wa facebook na wengine vibaka tu wasiojua biashara inafwanywaje!! waache wakati tunaojua tunasonga mbele.

mleta mada usikate tamaa kwa utumbo wa wasiojielewa!!!!

Gsana

Dah kwa uchumi wangu ulivyo, hii mahesabu imenivunja nguvu!!
 
Gari nzuri muuzaji utaliuza tu akitokea
Mtakaji wa ukweli.
 
Back
Top Bottom