Toyota spacio

Tumba

Member
Mar 2, 2011
37
2
Wadau nahitaji toyota spacio ya mwaka 2002 na kuendelea. Km zisizozd 100000. Bajet yangu milion 7 tu.

Nina wac wac na udoctor wako mana m cjawai ona gari lmeandikwa la kike au kiume icpokuwa n upuuz we2 sie watz wa kujfanya 2najua sana magar ile hal hata bicycle 2naunda kwa shida. Mkuu we jb thread yang nawe endelea kutafuta trekta mana ndo la kiume zaid. What i need z just to move using my own makalio na c vngnevyo.
We Mwanamke au mwanaume, nasikia hzi ni za kike

Hahahaa! mkuu anaambiwa gari ya kike anang'aka; je ukiambiwa babywalker! joking maan

wadau angalieni msije mkaagiza kwenye kampuni inyoitwa 41export.inc inayopatikana kwenye Impreza Used Cars 41export.com. Jamaa hawa ni wezi binafsi wameniibia hela zangu niliagiza kwao tangu tar 04/05/2011 mpaka leo hajanitumia gari. Ni wezi wa kutupwa.

Hilo jipya kwangu kwamba kuna magari ya kike. Nadhani hapo ni suala la confortability tu wala sio gender specific haya magari

Kama kuna mtu amewahi kuagiza gari toka beforward, naomba aniambie kama hawa jamaa ni genuine kwenye biashara hii. Maana naogopa kuibiwa tena kwenye hii industry ya online business. Binafsi nataka kuagiza tena gari, ila naomba mnishauri kama nikiagiza toka kwa hawa Beforward hawataniingiza tena mkenge.

Naomba ushauri wenu!!!!!

Mkuu nenda kwenye threads za zamani kidogo.Beforward watu waliwajadili sana hapa,wengi waliwarecommend hawa jamaa.I'm out

Kama kuna mtu amewahi kuagiza gari toka beforward, naomba aniambie kama hawa jamaa ni genuine kwenye biashara hii. Maana naogopa kuibiwa tena kwenye hii industry ya online business. Binafsi nataka kuagiza tena gari, ila naomba mnishauri kama nikiagiza toka kwa hawa Beforward hawataniingiza tena mkenge.

Naomba ushauri wenu!!!!!
Mimi nimeiingiza gari mbili mwezi wa saba kupitia beforward nakuhakikishia usalama jamaa wako smart hatari

Kama kuna mtu amewahi kuagiza gari toka beforward, naomba aniambie kama hawa jamaa ni genuine kwenye biashara hii. Maana naogopa kuibiwa tena kwenye hii industry ya online business. Binafsi nataka kuagiza tena gari, ila naomba mnishauri kama nikiagiza toka kwa hawa Beforward hawataniingiza tena mkenge.

Naomba ushauri wenu!!!!!

mimi nawitness kwa Befoward nilideposite hela kwenye acc yao in 2wks tym wakaconfirm malipo na wakaanza process za kusafirisha nililipokea april in gud shape. Wsh u best of luck

Similar Discussions

Back
Top Bottom